Wyre ft Alaine - Nakupenda Pia (Official Video) Mohamed Jaku 4:21 PM Mohamed Jaku Kuna kipindi ilisikika kuwa Alaine na Wyre wanampango wa kufanya kazi pamoja, finally imekamilika na video ndio hii hapa, "Nakupenda pia" humo ndani anaonekana pia na kuskika Alaine akiimba kipande cha kiswahili. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest
No comments:
Post a Comment