Breaking News
recent

Tevez akabidhiwa jezi ya Del Pierro Juventus baada ya kusaini mkataba wa miaka 3

Mshambuliaji wa kiargentina Carlos Tevez amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Juventus kwa ada ya uhamisho ya paundi millioni 10. Tevez aliwasili leo jijini Turin na moja kwa moja akaenda kufanyiwa vipimo kisha kusaini mkataba wa miaka 3 wa kuitumikia Juventus.

 Tevez ambaye ni mchezaji wa zamani wa West Ham, Man United na Man City amepewa jezi 10 aliyokuwa akivaa gwiji wa Juventus Alesandro Del Pierro.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.