Breaking News
recent

Wabunge nusura wazichape bungeni

Za moto moto leo kutoka kwenye tunaloliita Bunge La Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, sintofahamu imetokea ndani ya bunge baina ya wabunge wa Cuf na Chadema, hali iliyopeleka wabunge wa vyama hivyo kutaka kupigana ndani ya Bunge.
hivi ndivyo hali ilivyokuwa....


         maoni ya Masoud Salim wa CUF

maoni ya David Silinde wa Chadema
 
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.