Siku ya jana usiku chelsea walijikuta mabingwa wa europa league baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Benfica.
Torres ndiye aliyeanza kufungua nyavu za Benfica, mda mfupi baadae
Benfica walijipatia goal la kusawazisha kutoka kwa O. Cardozo (Pen)
dakika ya 68′.
Chelsea walijipatia goal la ushindi kwenye dakika za nyongeza kupita kwa Ivanovic.
Ushidni huo umempa furaha kubwa John Terry hadi kupelekea kuongeza mdaa wa kuendelea kuichezea Chelsea.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment