Breaking News
recent

NEW TRACK: Wizkid ft Femi Kuti - Jaiye Jaiye

Kupitia mtandao wa Instagram leo hii, masanii anaefanya vizuri na kukubalika zaidi na vijana kutoka Nigeria, Wizkid, ameonyesha cover ya wimbo wake pamoja na kuachia single aliofanya na mkali wa kitambo,
aliejiwekea heshima katika mziki unaozungumzia zaidi maisha halisi ya jamii inayomzunguka huku akikemea mabaya yanayoendelea katika jamii yake na Africa kwa ujumla, licha ya hayo Kuti alishawahi kufanya collable na wasanii  wakubwa kibao kutoka Marekani kama  CommonMos Def, na Jaguar Wright, katika album yake ya 2001 "Fight To Win"

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.