Muda mfupi baada ya wasanii hao kuachia tu kibao hicho mashabiki lukuki kupitia mtandao wameonyesha kukikubali sana kiasi cha kupata watazamaji wengi mtandaoni.
Sauti Sol - Still de One (Official Video)
Kundi maarufu la muziki nchini Kenya ambao wamekuwa na ziara mbalimbali
za matamasha ya muziki kimataifa hivi sasa wamedondosha kibao kipya
ambacho wamekibatiza jina ‘Still the One’.
Muda mfupi baada ya wasanii hao kuachia tu kibao hicho mashabiki lukuki kupitia mtandao wameonyesha kukikubali sana kiasi cha kupata watazamaji wengi mtandaoni.
Muda mfupi baada ya wasanii hao kuachia tu kibao hicho mashabiki lukuki kupitia mtandao wameonyesha kukikubali sana kiasi cha kupata watazamaji wengi mtandaoni.
No comments:
Post a Comment