Breaking News
recent

NEW TRACK: Young Killer ft Quick Rocka & Stamina - Jana na Leo

 Ikiwa bado ngoma yake "Dear Gambe" bado inafanya vizuri kaika chati mbali mbali, leo hii Young Killer, msanii anae wakilisha Mwanza, amedondosha boooonge moja la pini ikiwa ni kolabo na Stamina na Quick Racka akiwa ameshikilia chorus, mkono wa producer D classic na Mona Gangsta.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.