Colabo kati ya nyota Kanye West na msanii D’Banj wa Nigeria imekuwa
yenye mafanikio makubwa baada ya wakali hao kutoa kibao chao cha pamoja
ambacho kimeanza kuwa gumzo mitandaoni kiitwacho ‘Scape Goat’ The REMIX.
D’Banj aliyesainishwa katika label yake Kanye West iitwayo G.O.O.D music
wanaandaa bonge moja la tamasha la siku ya kuzaliwa ambapo licha ya
kutumbuiza wanatarajia pia kuachia albamu kwa wakati mmoja.
No comments:
Post a Comment