Breaking News
recent

Cardiff City kucheza Barclays Premier League Msimu ujao

Wakiwa wamebakiwa na michezo mitatu, Cardiff wamejinyakulia chance kiulaini ya kucheza barclays premier league msimu ujao.
Chance hiyo ilipatikana siku ya Jumanne walipotoa suluhu na Charlton. Malky Mackay ambaye ni kocha wa cardiff amepata furaha kubwa baada ya kuiongoza Cardiff mpaka kupata nafasi ya kwenda kucheza Premier League

Pia Malky Mackay aliweza kutoa shukrani zake kwa mashabiki na kusema
“They have backed me and the team in the last 18 months and for that I’ll be forever grateful. I hope this goes a little way to repaying the backing they have given me since I came in.”
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.