Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii mkongwe Fatuma Binti Baraka anayefahamika kama Bi Kidude amefariki leo akiwa na miaka zaidi ya 90.
Bi. Kidude aliripotiwa kuwa na hali mbaya kiafya tangu mwaka jana
ambapo alizuiwa kuendelea kupanda jukwaani kufanya maonyesho ya muziki.
No comments:
Post a Comment