AMNUNULIA GARI LENYE THAMANI YA SHILINGI MILLIONI 15.
NI KWAAJILI YA MIZUNGUKO YA KLINIKI, OFFISINI, NA KWINGINEKO.
ASEMA SI VIZURI KUGOMBANIA PRADO AU GARI LA MAMA NASEEB.
Baada ya kukana kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji wa Tv
Penny katika moja ya interview aliyoifanya na kipindi cha xxl, leo hii
kupitia kwa Gossip Cop wa u heard ya xxl Diamond amekubali kuwa ni kweli
Penny ndio mpenzi wake na anatarajia mtoto nae (Penny ni mjamzito), na
ameamua kumnunulia gari kwa ajili ya kumsaidia kwenye mizunguko ya
kliniki ofisini na shughuli zingine
" yaaa thatsssssss, unajuaaaaaa, mmmmhhhhh, yah thats true thats true
unajua sa sio tu ni mpenzi wangu, anaelekea kuwa mama watoto wangu,
kwasababu ya mizunguko ya kwenda clinik na nini ikawa sio vizuri kujitia
kwenye madaladala au kuanza kugombania prado hiyo hiyo au achukue gari
ya mama Naseeb au nini unajua, kwahiyo nikaona nivizuri nikimnunulia
gari yake yeye ambayo atakua anaendea clinik na sehem zingine"
No comments:
Post a Comment