Viongozi wa Chadema wakiwa
katika mshikamano mkubwa, wakiandamana kupinga vitendo vya uonevu
vinavyofanywa na Spika na Naibu wake dhidi ya wabunge wa Upinzani.
Mamia ya wakazi wa Dar es
Salaam walijitokeza kuunga mkono maandamano yaliyoandaliwa na Chadema
kupinga uonevu wanaofanyiwa wabunge wa Upinzani Bungeni.
Viongozi
wa Chadema wakiwa meza kuu kutoka kushoto Katibu Mkuu Dk. Wilbroad
Slaa, Mwenyekiti Mhe. Freeman Mbowe na Naibu Katibu Mkuu Mhe. Zitto
Kabwe.
Mhe. Tundu Lissu akiongea kwenye mkutano uliofanyika Viwanja vya Mwembeyanga.
Mhe. Mnyika akiongea katika mkutano.
Kamanda Lema naye akimwaga cheche jukwaani.
Maandamano yakiendelea kuelekea Mwembeyanga.
No comments:
Post a Comment