Breaking News
recent

Nahreel na Aika wajitoa Pah One

Taarifa zilizogonga vichwa vya habari katika uwanja wa burudani Bongo ni kwamba kundi lililowahi kutamba na ngoma kali la Pah One limevunjika rasmi after First Lady wa kundi hilo mwanadada Aika na mpenzi wake Nahreel, Rapper ambaye pia ni Producer wa kundi hilo kutangaza kujitoa kwenye kundi.

Akichonga na Mohamedjaku blog Aika amesema sababu ya iliyomfanya ajitoe kundini ni kutokuwa na maelewano mazuri ndani ya kundi hilo na kuongeza kuwa Nahreel ni Solo Artist so wasilaumiwe kwa uamuzi wao na mapenzi yao yasihusishwa na kujitoa kwao katika kundi.


Nahreel na Aika wanatarajia kuachia ngoma yao ya kwanza wakiwa kama Solo Artists Siku ya Valentine mapema mwezi huu.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.