Breaking News
recent

Kitale avuta Jiko rasmi, Ubachela baaaaaass

Msanii wa Filamu za kuchekesha hapa nchini maarufu kama Kitale, jana amesherehekea siku yake muhim, kwa kufunga ndoa na mpenzi wake, ambae leo hii tunamuongelea kama mkewe, Bi Fatma Salum.
Ndoa hiyo ilifungwa majira ya Saa nane mchana maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na watu kibao wakiwemo marafiki, ndugu na jamaa. mohamedjaku blog inakutakia maisha mema katika ndoa yako.
 
 
 
 
 
 
 
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.