Breaking News
recent

Mashabiki wa Diamond wajiulize maswali mengi sana kuhusu picha hii

Msanii wa Bongo Fleva maarufu Diamond Platinum siku ya leo kupitia katika mitandao mbalimbali kulikuwa na  maswali mengi sana juu ya picha ambayo ikimuonyesha Diamond Platinum akiwa amelala na Penny.

Hii ni moja kati ya page ya facebook ambayo watu wengi wakiulizana maswali juu ya picha hiyo.

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.