Breaking News
recent

Exclusive: Ray C apona na apata nafasi ya kumtembelea Rais Jakaya Kikwete Ikulu

Mwanamuziki wa Bongo Fleva maarufu kama Ray C siku za hivi karibuni amemtembelea Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam na kumshukuru kwa msaada wa matibabu kipindi alipokuwa mgonjwa.
Kwa upande wa mama mzazi wa Ray C amemshukuru sana Rais Kikwete kwa kuokoa maisha ya mwanaye.
 Kutoka kulia ni dada yake Ray C(Sarah Mtwere), Ray C, Rais Jakaya Kikwete, mama yake Ray C bibi Magreth Mtwere
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.