Hii ndio ripoti ya mwandishi
Salehe Masoud wa Clouds tv kuhusu taarifa ya miili ya watu kung’ang’ania
wakiwa gest house baada ya kufumaniwa, yani ni mwanaume aliekutwa na
mke wa mtu ambapo Masoud ambae yuko kwenye hospitali ya Temeke ambako
watu hao wanadaiwa kupelekwa ameripoti kwamba baadhi ya mashuhuda
wanasema watu hao wamefikishwa hospitali wakiwa wamegandana na
waliteremshwa kwenye gari wakiwa hivyohivyo ingawa uongozi wa hospitali
umekanusha na tayari umeshatoa tamko kwa mamia ya watu waliokusanyika
kwamba sio la kweli, hakuna ukweli wa hizo taarifa.
Baada ya watu kuzidi kuwa wengi
na kila mmoja akitaka kuona hao waliogandana, polisi wamelazimika
kutumia mabomu ya machozi kutawanya mamia ya watu waliofika kushuhudia ambapo inasemekana wawili hao wamehifadhiwa nyuma ya Mochwari.
SIKILIZA HAPA:-
No comments:
Post a Comment