Msanii wa bongo fleva almaarufu kwa jina la
Cyrill Kamikaze anayetamba na ngoma kali hapa bongo na kupelekea mpaka
mashabiki kumkubali katika tasnia ya muziki hapa Tzee sasa
Latest info kutoka kwa Cyrill ni kwamba baada ya kuachia ngoma yake mpya ya Utamu wa chocolate ambayo amemshirikisha Bob junior sasa
siku za hivi karibuni ameweza kufanya maandalizi ya video yake mpya na
hapo chini kuna baadhi ya sehemu ambazo zinamuonyesha Cyrill na Bob junior wakiwa katika utengenezaji wa video hiyo mpya Utamu wa Chocolate. wametishaaa mbayaaa!!!!!!!!!
Bongo Forest
music
Video
Photoz: The making of Video mpya ya Cyrill na Bob Jr - "utamu wa chocolate"

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment