NEW TRACK: Country Boy ft Nyemo - Juu ya Udongo Mohamed Jaku 5:59 AM Mohamed Jaku Msanii wa Bongo Fleva maarufu kama Country boy anayetamba na ngoma nzuri hapa Tzee kama Mtuchee,Mia na ngoma nyinginezo kali, sasa latest info kutoka kwa Country Boy ni kwamba leo ameachia ngoa yake mpya inayokwenda kwa jina la Juu ya Udongo. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest
No comments:
Post a Comment