Kesi ya Lulu yaahirishwa tena mpaka December 3, 2012
Msanii wa Bongo Movie almaaarufu kama Elizabeth Michael alias Lulu baada ya kipindi cha nyuma kurudishwa rumande kwa kesi yake inayomkabili kwa kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake,The Late kanumba.Sasa basi leo tumepata taarifa kwamba kesi yake imepelekwa tena mpaka tarehe 3 desemba.Kwa mujibu wa Peter Kibatala
ambaye ni wakili aliomba mahakama kuhimiza upande wa mashtaka na
kuongeza kasi ya upelezi kwa kuwa mshtakiwa anateseka mahabusu.Ndipo
hakimu mkazi Bwana Agustino Mmbando akasema upande wa Jamhuri kwanza itabidi ikamilishe upelelezi na baada ya hapo ndipo kesi hiyo itasomwa tena Desemba 3 mwaka huu.
No comments:
Post a Comment