Kwa miaka miwili iliyopita
kampuni ya Apple imeshika soko la teknolojia na kuwa kampuni inayoongoza
kutokana na bidhaa zao kama Iphone na imeshinda na kuwa ya kwanza
katika tafiti mbalimbali lakini mwaka huu mpinzani wa Apple, Samsung
ameongoza na kuwa wa kwanza baada ya utafiti kufanywa kuhusu
aliefanikiwa kwa mauzo na kushika soko la bidhaa hizo za teknolojia.
Bidhaa iliyowapa nguvu ni
galaxy s3 imeshinda baada ya utafiti kufanywa hivyo imetangazwa kama ni
smartphone of the year 2012 ambapo utafiti uliofanywa unaonyesha katika
katika miezi mitatu ya mwaka huu Julai, Agosti na Septemba Samsung
wameuza simu milioni 18 za s3 na Iphone wameuza milioni 16.2.
No comments:
Post a Comment