Rap Mogul Jay z Ameonekana
akimpasupport Barack Obama saa 12 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Unaofanyika
Leo Jumanne 6/11/2012 huko Marekani Mkali mwingine alikuepo kumpa
support Obama Ni Bruce Springsteen.
Mkali Jay z aliperform Ngoma Yake inayoitwa “99 problems” Wimbo ambao ulikuwa ni mahsusi kwa mgombea wa Republican Mitt Romney.
Mkali Jay z aliperform Ngoma Yake inayoitwa “99 problems” Wimbo ambao ulikuwa ni mahsusi kwa mgombea wa Republican Mitt Romney.
No comments:
Post a Comment