Rama Dee ni mmoja ya
wasanii wakali wanaokinukisha vizuri katika anga za RnB Bongo kwa ngoma zake
kali alizozifanya na kupata mashabiki wengi kupitia muziki wake. Rama dee kwa sasa anatamba kwa single yake
iitwayo “Kuwa na Subira” akiwashirikisha Mapacha
alias Maujanja Saplayaz.
Hivi majuzi kulikuwa na sakata la wizi wa vifaa vya gari la msanii Ommy Dimpoz na hatimaye Ommy kumshutumu
member wa Nako 2 Nako Lord Eyez kama ndio mwizi wa vifaa hivyo. Katika tasnia hii ya
muziki wadau mbalimbali walitoa maoni yao
kuhusiana na swala hilo.
But siku ya jana Rama Dee naye
aliweza kutoa maoni yake kupitia Facebook Fan page yake aliweza kupost maneno
ambayo ni kama maoni kwa wasanii Lord
Eyez na Ommy Dimpoz:
Hii ndio post ya Rama Dee:
No comments:
Post a Comment