Tumepokea kwa huzuni taarifa za Baby Madaha kufiwa na mama yake mzazi jana usiku ambaye alikuwa akiumwa kwa mda mrefu, habari zilizotufikia na kwamba mwili wa marehemu utasafirishwa kuelekea Musoma nyumbani kwao ambapo mipango yote na taratibu zote zitafahamika.
"Naumia sana lakini najua yote ni mipango ya mungu kwani kila kitu kimepangwa, hivyo tunamuombea mama yetu aweze kwenda salama mbele ya haki kwani sote ndio njia yetu" alisema Baby Madaha.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment