Boss akisababisha katika stage ya fiesta Dar
Teflon Don akiwajibika stejini
@Rick rozay
Rich Mavoko akiwaburudisha mashabiki waliojitokeza pande za Leaders
Ngwair kutoka Radar ent. naye alikuwepoShetta akikipiga kiduku swagga kwa stage
Diamond wa Wasafi naye aliwapagawisha mashabiki wake
Fid Q akiwaeleza mashabiki kuwa hahitaji marafiki
Quick Racka kwa stage ya serengeti fiesta Dar es salaam
No comments:
Post a Comment