Breaking News
recent

Rick Ross athibitisha kuwa yupo njiani kuja Bongo-land leo

Masaa kadhaa yaliyopita msanii wa kimataifa wa Marekani Rick Ross ameandika kwenye ukurasa wake wa Twiter kwamba yupo njiani kuja nchini Tanzania ambapo atatumbuiza kwenye tamasha bora na kubwa kabisa hapa East Africa - Tamasha la Serengeti Fiesta Dar es Salaam, siku ya jumamosi.



Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.