Nuru the light baada ya kufanya vizuri na ngoma yake
inayofahamika kwa jina la chapa lapa katika jukwaa la serengeti fiesta
mwaka huu hata pale anapotoa burudani sehemu mbalimbali sasa bhana
ameamua kuachia video yake ya hii ngoma inayofahamika kwa jina la Chapa lapa
No comments:
Post a Comment