First lady wa YMCMB Nicki Minaj ambaye hivi karibuni alisema angependa kutulia na kuwa na familia miaka michache ijayo alikataa kukutana na mchezaji wa Man city jumatatu usiku ya wiki hii tar (22.10.2012) kwa sababu alikua amechoka mno baada ya kufanya show jijini humo.
Chanzo kimoja kimeliambia gazeti la "The Sun" : "Mario aliumia, ni shabiki wake mkubwa sana na alienda na zawadi akiwa na wachezaji wengine wa Man city", "Lakini Nicki alikuwa amechoka sana baada ya show, hivyo Balotelli alienda nyumbani kwa huzuni kwa kuwa alikuwa amenunua mpaka camera ya kumzawadia"
No comments:
Post a Comment