Msanii toka studio za B’Hits Music Group Tanzania, Mabeste Venance
alias Mabeste baada ya
kutamba na ngoma zake kali kama “Baadae sana” na “Sirudi tena”
aliyompa collabo mkali Jux
sasa ajaandaa na kutoka na ujio mpya.
Huu utakuwa ni muendelezo wake wakutoa ngoma kali aweze kuwapa
mashabiki wake muziki mzuri wa hapa Tzee na nje ya mipaka. Plan yake ni kutoa
single hiyo mpya week mbili zijazo ambayo itaitwa “Dole”
huku mpango mzima ukiwa umesimamiwa na producer Pancho Latino ndani ya studio za B’Hits.
Mabeste kwa sasa anatamba na video yake ya “Sirudi
Tena” kwenye vituo mbalimbali vya televison za hapa bongo kwa kzai
nzuri iliyofanywa na Director Hassan Kundamayi alias HK kutoka HK Vision.
No comments:
Post a Comment