K-Lynn ajifungua watoto mapacha Mohamed Jaku 6:46 PM Mohamed Jaku Aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Jackline Ntuyabaliwe amejifungua watoto mapacha, Kwa mujibu wa vyanzo K-lynn amejifungua watoto mapacha wa kiume wenye afya njema. Mohamed Jaku blog inampongeza K-lynn kwa kujifungua salama... Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest
No comments:
Post a Comment