Joh Makini ft Dunga - Sijutii (Official Video) Mohamed Jaku 4:13 PM Mohamed Jaku Msanii huyu baada ya kufanya ngoma yake toka miaka nne iliyopita na mtu mzima Dunga bila kuiachia katika vituo mbalimbali vya ma radio.Sasa leo ndiyo ameamua kuiachia rasmi video yake ya Sijutii ambayo amefanya na production ya mtu mzima Nisher. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest
No comments:
Post a Comment