Ni wimbo, DVD, inayoungaunisha hisia za mwana hip hop NIKKI WA PILI
na msikilizaji katika namna ya mawasiliano ya moja kwa moja,
zao la wimbo bum kubam, uzalishaji,simulizi, video, mawazo ya wengine,
mitindo huru. story ya wimbo katika vitendo na namna wimbo unavyoishi
katika maisha yetu ya kila siku. Ni RAP, Ni Hip Hop, Ni Ukweli mtupu.Hii
ni ya kwanza kutokea Tanzania...Itakua mtaani hivi karibuni.
Bongo Forest
Weusi
Hii ndiyo Official Trailer ya Series ya Bum Kubam ya Nikki wa Pili itakayokuwa katika DVD

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment