Jana mida flani ya mchana msanii Ommy Dimpoz alifunguka
na kusamba baadhi za picha ambazo zinaonyesha gari lake aina ya Rav 4
likiwa limeibiwa vifaa mbali mbali kuanzia power window navinginevyo na
huku akimtuhumu kuwa mwizi aliefanya kitendo hicho ni msanii mwenzake
kutoka kundo ka Nako 2 Nako Lord Eyes
Huu ndiyo ushahidi aliokuwa akiutuma kupitia mtandao wa twitter ambao unaonyesha kwamba
mtu mzima Lord eyez amehusika
Na tweets nyinginezo ni hizi:-

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment