Kimbunga Sandy ni kimbunga
ambacho Marekani haijawahi kukishuhudia kwa miaka tisa iliyopita ambapo
kwa mujibu wa Sky News ni watu 16 wamepoteza maisha mpaka sasa na nyumba
zaidi ya 50 zimewaka moto huku mamilioni ya wananchi wakikaa bila umeme
majumbani mwao.
Kutokana na hiki kimbunga pia
safari za ndege zaidi ya eflu zimeahirishwa ambapo kwa upande mwingine
nyumba laki sita na elfu sabini kwenye jiji la New York zimeachwa bila
umeme.
No comments:
Post a Comment