Juzi msanii Young D amekamaliza kuchora tattoo yake mpya mkononi. Tattoo
hiyo inaonekana akiwa ameandika O.M.G na chini ya herufi O ameandika
Over everything, M. My hand is na chini ya G ameandika Got to make it
easy...Over everything My hand is Got to make it easy na shades pembeni
ya maneno hayo..
No comments:
Post a Comment