Breaking News
recent

This is Rihanna's new tattoo

Msanii anayefanya vizuri sana katika game la muziki pande za state American.Namzungumzia msichana anayeitwa kwa jina la Rihanna anayeondoka miondoko ya RNB siku za hivi karibuni msanii huyu alionekana amepiga tatoos mpya ambayo amepiga katikati ya kifua.
        Na hii ndiyo tattoo aliyonayo sasa hivi mwanadada Rihanna chini kidogo ya kifua chake
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.