AT mkali wa miduara akiwazungusha mashabiki wake wa dodoma
Bongo movie nao walikuwepo, kutoka kulia JB, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel
Ray the Greatest akilisakata sebene kwenye jukwaa la serengeti fiesta dodoma 2012
Linah akiwaburudisha mashabiki wake wa Dodoma waliojitokeza
Mkali wa R&B anaejulikana kwa jina la Ben Pol naye alikuwepo
The hitmaker wa Mdananda na Nidanganye baba Kyla a.k.a Shetta akiwajibika
Rich Mavoko akitumbuiza katika jukwaa la serengeti fiesta dodoma 2012
Msanii wa kike anayetamba na kibao chake cha Nivute kwako Dayna naye alisababisha
Wakazi kibao wa dodoma walijitokeza kwenye tamasha la serengeti fiesta 2012 mkoani humo
Mtoto mzuri Recho pia alikuwepo akawapa watu kizunguzungu na upepo wake
Kutoka Supa Nyota ni Young Killer kwa stage ya serengeti fiesta dodoma 2012
No comments:
Post a Comment