Chir Brown anatarajia kurudi mahakamani mwezi novembermwaka huu ambapo mahakama itatoa taarifa ya jinsi msanii huyo anavyoendelea na kifungo chake cha nje na kazi za kijamii. Hata hivyo mpaka sasa bado hajavunja masharti aliyopewa.
Hivyo, Rihanna ameonyesha kuwa yupo pamoja na mpenzi wake huyo wa zamani na kwamba humkumbuka kwenye sala zake kupitia tweets alizoziandika jana. Kwa namna alivyoziandika tweets hizo na kitendo cha kumuita Chris 'baby' tayari watu wameshaanza kuhisi wawili hao wamesharudiana.

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment