Naweza kusema kwamba ukizungumzia Team nzima ya Maybac music double MMG
basi Rick Ross lazima awepo katika Team hiyo ambayo imehusisha vinjwa
vitano kama Stalley,Omarion,Meek milli,pamoja na Rozay Boss.Najua kwa
sasa unakuwa na hamu ya kuweza kumfahamu yule ambaye atawasha moto
katika stage ya serengeti fiesta mwaka huu.Nakumbuka mwaka jana mtu
mzima Ludacris alinukisha mbaya katika ile stage ya Leader club sasa
habari nzuri ni kwamba Rozay Boss au Rick Ross in da Fiesta serengeti tarehe 6 mwezi wa 10

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment