Msanii anayetamba na video yake mpya inayoitwa UNAPOKUWA MBALI hapa
namzungumzia PIPI jana usiku alijifungua mtoto wa kiume na kumpa jina la
KINGSTONE. Mwenyewe anasema anajisikia mtu mwenye furaha sana kwa sababu kwa sasa anaitwa MAMA.
Na kwenye ukurasa wake wa Facebook ameandika maneno haya nayanukuu
14th of September 2012 is the happiest day of my life so far. . .wat a gorgeous
No comments:
Post a Comment