Breaking News
recent

Mh.Joseph Mbilinyi a.k.a Mr.II or Sugu ajaaliwa mtoto wa kike

Leo hii Mh JOSEPH Mbilinyi mbunge wa Mbeya kupitia ukurasa wake wa facebook, akionyesha furaha aliyonayo amejulisha uma kuwa amepata mtoto wakike aliempa jina la Sasha Desderia J. Mbilinyi.

"Amazing grace!..I thank GOD for giving me a baby girl born today on 26th Sept,her name is SASHA-DESDERIA J. MBILINYI..she is my new darling and my everything now...May God also bless me and her monther Faiza so we can live longer enough to see her grow..."

wishing you all the  best na makuzo mema kwa mtoto wako
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.