Msanii anayefanya vizuri sana katika game la muziki wa
R&B kutoka pande za state.Huyu si mwingine anafahamika kwa jina la
Chris brown.Msanii huyu siku za hivi karibuni alionekana amepiga new tatoo
katika shigo yake.tatoo hiyo ilizua sana maneno kutoka kwa watu kwamba ni sura
ya msanii ambaye anafanya game la muziki American anafahamika kwa jina la
Rihanna
Na hii ndiyo tattoo aliyoichora Chris ambayo inasemekana kamchora mwanadada Rihanna, hata mdau ukiangalia c unaona wanavyofanana...?
No comments:
Post a Comment