Huko nchini Marekani katika jiji la Los Angeles kulifanyika ugawaji wa tuzo na MTV Video Music Awards katika ukumbi wa Staples centre na watu wengi walishangaa pale wapenzi wa zamani Rihanna na Chris brown walipokua waki-kissna kukumbatiana, lakini aliyeshangaa na kuumia zaidi ni mpenzi wake Chris brown wa sasa aitwaye Karrueche Tran.
Chanzo kimoja kiliuambia mtandao wa US Magazine kuwa model huyo mwenye miaka 23 alichukia sana baada ya Chris kumpongeza Rihanna kwa kuchukua tuzo ya Video of the year kwa kuonesha hadharani kuwa bado anampenda, "She felt the kiss was a public slap in the face" , kilisema chanzo hicho.
Bongo Forest
Chris brown
Rihanna
Karrueche akerwa na kitendo cha Rihanna kum-kiss mpenzi wake Chris brown kwenye tuzo za VMA

Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment