Breaking News
recent

Hii ndio tattoo ya B12

Ni B12 a.k.a Twanga la tweez akiwa katika mitambo ndani ya clouds fm na hapo kama unavyomuona mdau wa mohamedjaku.blogspot.com na hiyo tattoo yake mpya iliyoko at the back of his neck ambayo inafanana kama flying bird fulani hivi aliyoichora hivi karibuni yaani juzi juzi tu.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.