Mmiliki
wa maduka ya Robby One Fashion, Maarufu kama Robby One pamoja na Big
Jahman ambae pia ni mmiliki wa Maduka ya Jahman Fashion, inadaiwa kuwa
asubuhi ya leo tarehe 20/09/2012 walipandishwa kizimbani katika Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukamatwa na mali za wizi...
kikitutaarifu chanzo chetu cha habari hii kilituambia kuwa wajasilia
mali hao walikutwa na mizigo ya nguo Kwenye Maduka yao ikiwemo Suti na
Viatu aina ya Moka au maarufu kama 4'EnGo ambavyo vinadaiwa kuwa
vimeibiwa...Vitu hivyo inasemekena kuwa vina thamani isiyopungua
Shilingi Millioni Mia mbili,hivyo kupelekea dhamana ya kesi hio kuwa ni
hati ya nyumba kwa kila mtuhumiwa, chanzo chetu kinasema kuwa Wadau hao
hawakuweza kutimiza ama kuwasilisha Hati hizo za nyumba ili kupata
dhamana, hivyo kupelekea Moja kwa moja kupandishwa kwenye Kalandinga na
kupelekwa Segerea......endelea kuperuzi www.mohamedjaku.blogspot.com soon
ntakujuza nini kinaendelea juu ya mabwana hao!
Big Jahman
No comments:
Post a Comment