Breaking News
recent

Ditto atajwa kwenye nominations za tuzo za Radio France International (RFI)

Nyota wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina la Lameck Ditto kutoka hapa bongo land Tanzania amechanguliwa katika kuwania tuzo za Radio France International Discoveries ambazo zitakuwa zinatolewa nchini France.katika tuzo hizi wasanii kumi kutoka Africa wamechanguliwa katika kuwania tuzo hizi na Ditto naye ni moja kati ya wasanii ambao wametajwa katika list ya wasanii ambao watashiriki katika kuwania tuzo za Radio France Intenational Discoveries.Kama mshindi akipatikana katika tuzo hizo za Radio France International basi atajipatia Euro elfu kumi na mkataba  wa kufanya  show live katika nchi 18 Duniani.Kwa hiyo tuna mtakia ushindi katika tuzo hizi za Radio France International.Hapo chini ndiyo categories ambayo msanii huyu atachuana na wasanii wa nchi mbalimbali  katika kuwania tuzo hizo za Radio France International,kwa hiyo kama wewe una support muziki wa hapa Tanzania basi tumpie kura mtanzania mwenzetu.


Vote for your favourite finalist
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.