Breaking News
recent

Diddy na Cassie waanika wazi uhusiano wao

Hatimaye Diddy na Cassie waweka hadharani uhusiano wao kwa kuonesha jinsi wanavyopendana kupitia account zao za twitter na Instagram.
Cassie ameweka picha ya bwana wake Diddy akiwa kwenye boti iendayo kwa kasi kwenye Instigram na kuandika "Love him". Baadae kidogo nae Diddy akaweka picha ya Cassiena kuandika "Am avery lucky man". Kuna wale wanaosema kuwa wawili hao tayari wameshachumbiana.........!
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.