Diamond akiwa kwenye rehearsal kabla ya show
Akiperform kwenye show hiyo
Akiwapa mikono mashabiki wake wakati wa show hiyo
waliojaa wengi walikuwa ni wanawake offcourse
mixer kumpiga picha nn...., c unaona camera hizo
As always kuvua shirt katika shows zake, cjui 2seme ndo mzuka ukipanda
kipenzi cha mabinti/akina dada kama anavyojiita
Na hii hapa chini ni video akiperform wimbo wake wa mawazo katika show hiyo huko Malindi Kenya
No comments:
Post a Comment