Alichokiandika Diamond kuhusu birthday ya Wema Sepetu
Tunafahamu kwamba mwana dada sepetu jana ilikua siku yake ya kuzaliwa
sasa bhana mtu mzima Diamond wa wasafi amefunguka katika website yake
kama ifuatavyo""Happy Birthday Sepetu wa Sepetunga"....coz
kiukweli ni mtu ambae kwa namna moja au nyingine anamchango mkubwa sana
katika Mafanikio yangu hadi kufikia hapa nilipo, Sikuzote amekua akinipa
Moyo, Motisha,Nguvu na kunisupport kwa hali na mali ili tu niweze
kufika Mbali zaidi..toka kwenye "Upenzi" hadi leo kwenye "Cousins" mixer "Ushemlake"
ni mbali sana nimetoka nae...narudia tena kusema nina BOOooonge la
furaha na kila sababu ya kumwambia "Happy birthday Sepetu wa sepetunga"
wish you all the best mama.....Maisha marefu yenye amani na Mafanikio
tele..........wote tuseme Aaaamen!Hicho ndicho alichokiandika bwana Diamond platinum katika site yake.
No comments:
Post a Comment