Breaking News
recent

Video: Rihanna akiri bado anampenda Chris Brown in Oprah Winfrey show

katika mahojiano mahsusi ya Oprah Winfrey na Rihanna nchini Barbados, Rihanna akiri bado anampenda Chris brown
 "We're very, very close friends. We built a trust again and that's it. We love each other and we probably always will.

Amesema namna wanavyopendana sio kitu rahisi kukizuia japo Chris brown tayari ana mpenzimwingine wakati yeye Rihanna akidai bado yuko SINGLE.

Amesema kwa sasa ni marafiki tu na hakuna namna yoyote ile wanaweza kurudiana tena japo alikiri kwa kusema "I think he was the love of my life"

Rihanna pia alikiri kua yeye na Chris brown walionana nchini ufaransa mwezi uliopita


Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.